Serikali inatoa mikopo isiyo na riba ya pembejeo za ufugaji samaki.

Serikali kwa kushirikiana na Benki ya Maendelo ya Kilimo (TADB) inatekeleza mradi wa kutoa mikopo yenye masharti nafuu na isiyo na riba ya pembejeo za ufugaji samaki ikijumuisha vizimba, vifaranga vya samaki na chakula cha samaki kwa ajili ya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba.Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. David Silinde amesema hayo